Mwimbaji na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern Taarab akiwapagawisha mashabiki wakati wa onyesho hilo.
Mzee Yussuf na wacheza shoo wa Jahazi wakiwajibika jukwaani
Mwimbaji wa kundi la Jahazi, Leila Rashid akiwajibika jukwaani. Leila ni mke wa Mzee Yussuf
Mashabiki wa Jahazi wakijimwayamwaya wakati wa onyesho hilo
Mpiga kinanda Chid Boy akifanya vitu vyake
Mashabiki hawa walishindwa kuvumilia, walipandwa midadi na kupagawishwa na muziki wa Jahazi. (Picha zote na Mussa Mnally wa Global Publishers)
No comments:
Post a Comment