KWA HABARI ZA MUZIKI WA TAARAB, WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL ramozaone@gmail.com

Wednesday, April 17, 2013

BREAKING NEEWSSSS. BI KIDUDE AFARIKI DUNIAHabari tulizozipata hivi punde zimeeleza kuwa, msanii mkongwe wa muziki wa taarab nchini, Baraka Mohamed, maarufu kwa jina la Bi Kidude amefariki dunia.

Kwa mujibu wa habari hizo, Bi Kidude amefariki dunia saa sita mchana nyumbani kwake Zanzibar.

Habari zaidi kuhusu kifo cha mkongwe huyo wa taarab tutawaletea baada ya muda mfupi ujao.

No comments:

Post a Comment