Sunday, July 20, 2014

DAR MODERN TAARAB KUZINDUA ALBAMU YAKE MPYA IDDI MOSI


Kundi zima la Dar Modern Taarab limeachia Albam yake mpya kabisa inayokwenda kwa jina la "Ubinadamu kazi."

Uzinduzi wa albam hii utafanyika siku ya Idd Mosi pale kwenye ukumbi wa Travertine, Magomeni, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment